nasi tunajiandaa kwenda dar kwa pariiii.
Karibu
Mmojawapo mie karibu.
Sukuma contacts zako through pm kama utajali .
Charminglady nipe update ili niumhe tela, hiyo party lini?
Mwanza mlikuwa juu wakati fulani;
zile mbwembwe zenu zimekwenda wapi tena.
Karibu sana mum... Ila uwe unatoa like bathi!!!!!