Kama bei ya umeme imekukera hebu chukua ujanja hapa tuwakomoe Tanesco

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
Nitaanza kutoa ujuzi na ujanja namna ya kuchakachua umeme kwenye aina zote za mita.
Stay tuned nakuandalia ujuzi.
Pamoja tuwakomoe tanesco
 
Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,192
1,500
Nitaanza kutoa ujuzi na ujanja namna ya kuchakachua umeme kwenye aina zote za mita.
Stay tuned nakuandalia ujuzi.
Pamoja tuwakomoe tanesco

Kosa la jinai, watoto wa Mangu manapitapita huku, wakikuchukua usiombe watu wa kukuwekea dhamana
 
Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
Kosa la jinai, watoto wa Mangu manapitapita huku, wakikuchukua usiombe watu wa kukuwekea dhamana

Wao wenyewe maisha magumu, kuna kota moja ya polisi nimechukua tenda kabisa ya kuwaibia umeme.
 
Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
Naanza sasa na sifa za anayetakiwa kupewa elimu hii?
1. Hakikisha nyumba mnayokaa isiwe na wambea
2. Utaendelea kununua umeme wa angalau 2000 kwa mwezi kwa mtu mwenye mita ya luku
3. Kwa wale mita za analog ni vizuri kuunga kishok usiku hasasa siku za mwisho wa mwezi
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Am interested ,i felt the sudden increase very very well,kwenye kununua LUKU jana,makato na bei per unit yameongezeka maradufu
KILICHOBAKI HII NCHI 'KULA TU WHENEVER U GET A CHANCE,
WL STAY TUNED,utupe maujuzo,am so in
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Yn SIFA ZOTE NNAZO,hakuna wambea and ni 'digital' meter ya luku
TUPE MADESA TU
 
Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
20,925
2,000
Naanza sasa na sifa za anayetakiwa kupewa elimu hii?
1. Hakikisha nyumba mnayokaa isiwe na wambea
2. Utaendelea kununua umeme wa angalau 2000 kwa mwezi kwa mtu mwenye mita ya luku
3. Kwa wale mita za analog ni vizuri kuunga kishok usiku hasasa siku za mwisho wa mwezi

Hiyo no2 ndo nafanyaga hivo
 
dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
2,825
2,000
Tena kama mie ukiniita "FISADI" pekee , utakua hujanitendea haki!
Niite "FISADIPAPA" Ni mpiga nyoka niliye bobezwa with my parents! Baba alikua mpiga Snake mahiri , mie nimerithi .

Nilidhani unadhihaki lakini ninalazimika kutia neno hapo, Huo msamiati uliokaziwa hapo juu,
Mimi siko kwenye taaluma ya umeme lakini nishausikia ukitumika kutoka kwa washikaji walioko kwenye talaaluma hiyo kwahivyo sina sababu ya kuwa na wasi nawe utakuwa unamaujanja kweli mtu wangu.
 
Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Nilidhani unadhihaki lakini ninalazimika kutia neno hapo, Huo msamiati uliokaziwa hapo juu,
Mimi siko kwenye taaluma ya umeme lakini nishausikia ukitumika kutoka kwa washikaji walioko kwenye talaaluma hiyo kwahivyo sina sababu ya kuwa na wasi nawe utakuwa unamaujanja kweli mtu wangu.

Nakwambia hujabahatisha kuniotea! Mi "mpiga nyoka mzoefu" tena naweza mpiku hata mletamada! Coz mtoamada anazungumzia unaanza kuSnake usiku , mi naanzaga kuSnek kuanziaga saa 10 alasiri , then for all holidays & sundays hizo unakula shushi full-days , saturdays unanyonya kuanzia saa 8 hiyo ndo mazima to monday mornie !
Sometimes inakucost , mathalan kuna mara kadhaa nilijisahau ku'disconect kinyonyeo Monday mornin' wasoma mita wakanifumania! Semea nao hua ni wa nenge (njaa) kali kuzidi yangu! Hapo lazima wakubabue kuanzia maximum laki 1 minimum elfu 30 hivi , hawana pa kukupeleka due mikwara yao ya mara wajidai kupiga picha snake design hamna kitu njaa tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom