Toa tofauti ya zombi na vampire

Toa tofauti ya zombi na vampire

John mungo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
1,008
Reaction score
1,029
Waungwana mi napenda kujua jambo kati ya zombi na vampire.
 
aaaaah yaan hiyo tofauti ni ndogo tu hapo zombi niyule anaye fanya sana maombi na vampire ni yule anaye onahaya. au co hapo c sawa wadau
 
Umepatia ila zombi yuko karibu sana na mungu
 
1. zombi anapatikana baada ya kiumbe(kisichokuwa zombi) kuwa kimeuwawa na zombi mwingine, anafufuka na kuwa zombi, Vampire anapitaka pale kiumbe kisichokuwa vapire kinapo ng'atwa tu( siolazima ufe).
2. Zombi yanakula nyama wakati Vampire wanakunywa damu.
 
Back
Top Bottom