zimepambwa na mipasho kila kona au maandishi ya kiarabu>sio QURAN> au hirizi
tupia unalokumbuka kama haya
YA KWETU YAACHE KAMA YALIVYO
NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU
JIRANI YAKO MBAYA WAKO
Eti jamani kama Mungu Angetoa Ofa ya kurenew/ kubadilisha jinsia we ungebadilisha yakwako?
Kitu gani unajivunia kuwa Ulivyo ? Mi binafsi Najivunia Kuwa Kidume hongera Mungu kunipa hii Kitu aisee!
Nimesikia msemo huu mara kadhaa katika jamii zetu.
Week- end moja hivi nilitoka out na rafiki yangu. Tulitafuta sehemu nzuri ktk pub moja hivi na kuagiza vinywaji; taratibu tuliendelea...
miss neddy, please badili avatar yako mama......please
ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu
hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply...
KUCHEK MPIRA NA WANAWAKE NI STRESS TUPU (arsenal vs man u)
demu: baby yule jamaa ni CHRIS BROWN
jamaa: hapana anaitwa THEO WALCOT
demu: hee.. ile kadi ya njano ni ya nini?
jamaa: ni onyo tu...
Mkutano wa mwaka wa Chama cha Walioolewa Duniani (CHAWADU) ulikuwa inaendelea, na akina mama kutoka nchi mbali mbali walikuwa wanatoa ripoti ya utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa mwaka...
utafiti unaonyesha zaidi ya 75% ya watanzania wanalala stoo,
Haiwezekan chumba cha kulala kuna
ndoo za maji, ndoo za maji ya kunywa, ,Sufuria za kupikia,
Jiko la kupikia, mkaa,
,Sofa, TV...
James prayed so hard and oneday God finally talked to him.
GOD:My son what do u really want?
JAMES:I want a job,a big car and lots of girls to be around me.
GOD: Is that all?
JAMES: Yes.
GOD...
1: Maid wenu ni zuzu alinunua mandazi kwa hoteli alipofika nyumbani akazichemsha ili apate supu
2: Naskia babu yako ni mkali sana akikasirika sana anakunywa painkillers!!!
3: Boyfriend wako...
Wakuu,
nAPENDA Kumshkuru Mungu kwa siku yale maana kwa siku kama ya leo mnamo mwaka 1971 bwana donlucchese nilizaliwa. napenda sana kushukuru kwa wote mlio ni pm kunitakia sikukuu njema ya...
Naipenda sana jf.Mada ikiletwe ndani kama filigisi ya kuku inapasuliwa katikati afu watu wanaanza kutoa kilicho ndani,ngozi yake hutolewa kwa facts.Mwisho wa siku jibu hupatikana kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.