Mapenzi kwa Hisani ya Whatsapp


Mtamile

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
2,820
Likes
100
Points
160
Mtamile

Mtamile

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
2,820 100 160
MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm)

MDADA: (last seen at 11:46pm)

MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm)

MDADA: (last seen at 11:52pm)

MKAKA: Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am)

MDADA: (last seen at 00:01am)

MKAKA: Ok usiku mwema baby, nilitaka kukwambia tu kuwa zile pesa nilizokwambia nilikuwa nadai nimepata. Nimeweka pembeni laki tano kwa ajili ya shopping yako ya Krismas, naona hujibu kwa hiyo bye baby…… (00:01 am)

MDADA: (typing): Ohh! Hi dear... Actually nilikuwa na mom nikawa nashindwa kukujibu ... wow darling najua roho yako sasa imetulia umelipwa deni lako.. I love you a lot... Unataka twende shopping saa ngapi? (00:05am)
MKAKA: (last seen 00:06am)

MDADA: Baby nijibu basi, nijibu nijue muda gani nijitayarishe, nijibu betry yangu inaisha chaji baby, nijibu sasa hivi (00:08am)

MKAKA: (last seen 00:09am)

MDADA: Naweka simu kwenye chaji dakika mbili baby (00:10am)

MKAKA: (last seen 00:12am)

MDADA: Babes, najua nilikwambia usiwe unanipigia simu baada ya saa mbili usiku, lakini piga tu mom ameshalala (00:25)

MDADA: (typing): Ok, najua umelala ntakupigia asubuhi. Na kesho kama unaweza kuja njoo tu mom anaenda kumtembelea rafiki yake mi ntakuwa alone siku nzima G9t baby miss you (00:30am)MKAKA: (last seen 00:32)


 
T

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Messages
221
Likes
20
Points
0
Age
26
T

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2013
221 20 0
Copy & paste
 
Emma.

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Messages
19,921
Likes
2,987
Points
280
Emma.

Emma.

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2012
19,921 2,987 280
haya bhana what app noumaaa
 
DAWA YA SIKIO

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
984
Likes
12
Points
35
DAWA YA SIKIO

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
984 12 35
At 00:32 safi sana. Mwanaume unatakiwa uwe strong bhana.
 
S

st.ignatues loyolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
232
Likes
2
Points
0
Age
28
S

st.ignatues loyolo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2013
232 2 0
kumbe!
 
Tuyuku

Tuyuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
3,302
Likes
1,547
Points
280
Tuyuku

Tuyuku

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
3,302 1,547 280
Nishakutana na kisa kinachofanana. Nilichofanya ni kula mzigo na kufunga vioo
 
L

Lami

Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
97
Likes
22
Points
15
L

Lami

Member
Joined Jan 1, 2014
97 22 15
Hao ndo mama zetu, dada zetu, aunt zetu, shemeji zetu, mademu zetu, na wife zetu. Akili zao zafanana. Woteeeeee!!
 
Filomena

Filomena

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
299
Likes
14
Points
35
Filomena

Filomena

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
299 14 35
Hao ndo mama zetu, dada zetu, aunt zetu, shemeji zetu, mademu zetu, na wife zetu. Akili zao zafanana. Woteeeeee!!
Sio kweli sema madem zenu bwana@lami
Hehehehe
 
Daata

Daata

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
4,410
Likes
635
Points
280
Daata

Daata

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
4,410 635 280
Akitaka kukuomba pesa utamtambua
Anaanza kijichekesha na kukuambia story ambazo unazipenda
Then anasema kama utani na kuanza kutilia msisitizo
 

Forum statistics

Threads 1,238,341
Members 475,888
Posts 29,316,743