"Behind every successful man there is a woman": HIVI NI KWELI ???

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,922
6,009
Nimesikia msemo huu mara kadhaa katika jamii zetu.

Week- end moja hivi nilitoka out na rafiki yangu. Tulitafuta sehemu nzuri ktk pub moja hivi na kuagiza vinywaji; taratibu tuliendelea kubadilishana mawazo kuhusu mustakabari wa nchi yetu pamoja na mambo mbali mbali ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini kwetu.

Katika meza ya jirani, walikaa wanaume wanne na wanawake wawili. Walikuwa wakibadilishana mawazo kama sisi
kwa sauti za kawaida. Baadae kilevi kilipokolea wanaume wawili katika ile meza jirani yetu walianza kubishana kwa kutumia nguvu nyingi na kwa sauti kubwa. Mmoja kati ya wale wanaume wawili waliokuwa wakibishana aliamua kusimama huku akiyumba na kubadilisha lugha; alizungumza hivi: " Listen, I am a successful man, but behind me are my books. No woman there. Woman are overrated. Mr. Kimaro please refute your argument otherwise................ " Baadaye mwanamke mmoja katika lile group, alimsihi sana yule bwana aliyekuwa amesimama, hatimaye alimsikiliza na kukaa. Baadaye ilijulikana kuwa mabishano yao yalihusu usemi huu; Behind every successful man there is a woman.

WANA JF KUNA UKWELI KTK USEMI HUU? LET US COMMENT.
 
It depend,hapo
coz wanaume weng wame'lost direction coz of hawa watu we col
WOMEN
 
It is very true. Ukiwa na bibi **** utakuwa unavaa kifala, unakula kifala, unalala kifala, unaamka kifala, unafanya deal kifala, unaendelea kifala, unafikiri kifala n.k. Ukiwa na mke smart unapiga deal za ki-EPA, ki-Richmond, ki-Rada etc. Mnakuwa gari yenu ya kubebea nyasi za farasi na ngombe ni Range Rover 2012 model na kila pahala mwaenda kwa ndege au chopper.
 
It is very true. Ukiwa na bibi **** utakuwa unavaa kifala, unakula kifala, unalala kifala, unaamka kifala, unafanya deal kifala, unaendelea kifala, unafikiri kifala n.k. Ukiwa na mke smart unapiga deal za ki-EPA, ki-Richmond, ki-Rada etc. Mnakuwa gari yenu ya kubebea nyasi za farasi na ngombe ni Range Rover 2012 model na kila pahala mwaenda kwa ndege au chopper.

OMG ... I like this!! Lol
 
"Behind every successful man there is a woman": NDIO NI KWELI KABISA ??? AND my question is WHO is Behind A WOMAN???
 
Ni kweli kabisa,baada ya kuoa,wanaume wengi wamekuwa mamilionea............................Lakini kabla ya kuoa walikuwa mabilionea.
 
Nimesikia msemo huu mara kadhaa katika jamii zetu.

Week- end moja hivi nilitoka out na rafiki yangu. Tulitafuta sehemu nzuri ya wazi ktk
pub moja na tuliagiza vinywaji, taratibu tuliendelea kubadilishana mawazo kuhusu mustakabari wa
nchi yetu pamoja na mambo mbali mbali ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini kwetu.

Katika meza ya jirani, walikaa wanaume wanne na akina mama wawili. Walikuwa wakibadirishana mawazo kama sisi
kwa sauti za kawaida. Baadae kilevi kilipokolea wanaume wawili kati yao ikaonekana dhahiri kama vile wanabishana
kwa kutumia nguvu nyingi na kwa sauti kubwa. Mmoja kati ya wale wawili waliokuwa wakibishana aliamua kusimama
huku akiyumba na kubadirisha lugha; alizungumza hivi: " Is this assertion true, I am a successful man, but behind me
are my books. No woman there. Woman are overrated. Mr. Kimaro please refute your argument otherwise.....
........... "
Baadae Mama mmoja kati ya wale wawili alimsihi sana yule bwana aliyekuwa amesimama, hatimaye alimsikilza na
kukaa. Baadae ikaja kudhihirika kuwa mabishano yao yalihusu usemi huu; Behind every successful man there is a woman.

WANA JF KUNA UKWELI KTK USEMI HUU? LET US COMMENT.

Kwa hiyo Lipumba asigombee tena urais?
Basi aoe tuone kama ataingia Ikulu
 
Back
Top Bottom