utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
utafiti unaonyesha zaidi ya 75% ya watanzania wanalala stoo,
Haiwezekan chumba cha kulala kuna
ndoo za maji, ndoo za maji ya kunywa, ,Sufuria za kupikia,
Jiko la kupikia, mkaa,
,Sofa, TV, Dressing table, sabufa, Friji,
kabati, kitanda,
,Kopo la kuogea,
,Jiwe la kusugulia miguu, na mengine mengi

Last edited by a moderator: