Dear,
Brothers & Sisters
Kwa muda mchache huu mniazime maskio yenu , kwa uchache nitoe haka "ka'shamba darasa".
Si kila umuonae kakufika umkopeshe any wealthy iwe Fedha , Bidhaa , na...
Aah kudadeki!
Nani tangu nimejiunga hapa JF kila ninayemuhitaji ananitolea nje wengine hawanijibu request zangu hadi leo, sasa sioni raha ya JF yaani hat wakuniandikia ujumbe pia sipati du kweli...
Habari wanachitichati,
mimi nimekuja na maswali yangu hapa, ningeomba Munkari unijibu.
...
Umeweka wapi kitufe cha PM? mbona kila nikijaribu kukupiemu hupiemuki?
Sasa mtu kama anataka kuongea...
for those who want to make money during their parting time just click the link below and see how things get to you when the cash flows in your pocket.it doesnt require you to have any certified...
Habari wadau, leo tarehe 24 Feb, ni B'day yangu, natimiza miaka kadhaa toka nije Duniani, shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Wazazi wangu walionilea mpaka kufika hapa, pia shukrani kwa ndugu,jamaa na...
mwangaruka mayo
kwa wale marafiki waliozaliwa tarehe hizi 8,18,28 (Hifadhini) wangependa
kuona tabia zao zinaoendana na wao waliovyo katika tarehe zao hizi.
Utafiti uliofanywa unaonesha wengi...
Wanajamvi, kuna ndoto moja huwaga inanisumbua kuiota mara kwa mara yaani atleast mara moja kwa kila mwaka. Huwa inatoke mazingira ambayo ninakoswakoswa kupigwa na radi dizaini nakwepa na inapiga...
Wakuu habari zenu weekend inakwendaje? Back to me ipo full majanga full kufulia afu tar zenyewe hizi du anyway j3 si mbali mnaofurahia weekend cheza kwa step usimkanyage mwenzio cc mwekundu miss...
Mkaguzi mkuu Asprin alitia fora siku ya Valentine baada ya kufanya ukaguzi kwa ujumla wa wanandoa na wasiokuwa wanandoa katika bwawa lake kubwa la kuogelea. ona mwenyewe.....
hawa ni baadhi...
Sometimes upo jforums unabrowse unakuta kuna members una wish uje kuwaona kwa sura kwa sababu mbalimbali uawzekana katika pita pita zako mnapishana ila ndo hivyo tena hamjuani ingekuwa vizuri sana...
How are you guyz?
So long missing for you especially in this new year,.
I'm happy to be back again with you coz i know most of you have missed my threads and criticizes coz i'm too...
Laiti ingekua ni Maji/Umeme nisingekuja hapa maskani ku'seek suluhu .
Iko hivi Brother wangu amempangisha mpangaji nyumba nzima .
Kama nilivyotangulia kusema, kwamba kwa habari ya Maji &...
Mtoto mmoja wa kiume alimuuliza mama yake "Eti mama.. hii hapa ni nini?" huku akiwa kashikilia nanii yake.. Mama kwa kukosa jibu akamwambia "Hiyo ni adabu yako. Mtoto mzuri huwa anaficha adabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.