clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 103
- 31
nkitaka kuweka pcha jf inakuaje
Kwani ukiweka avatar ina ubaya gani?
nkitaka kuweka pcha jf inakuaje
Huyu anataka kuweka sura yake ndo maana anataka confirmationMay be ndio hiyo anataka kuweka
Ingia kule katika profile lako upande wa juu utaona settings
click edit avatar - kisha chagua picha yako kwenye laptop, simu, au popote
kisha iupload hapo mwisho save hiyo picha itatokea hewani katika avatar yako
Kwani anamaanisha avatar? Yeye anataka kuweka picha kama vile jf photo
nilijua ni kuweka picha kwenye avatar
kumbe picha ya jf sasa hiyo sijui kabisa
kwani wanawekaje
Kuna mtu anaitwa englibertm ndio ishu zake mtafute