Nani yupo katika train ya Mwakyembe mda huu,tupige Gumzo

Nani yupo katika train ya Mwakyembe mda huu,tupige Gumzo

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Ndo nimetoka mjini Stesheni naelekea home Garage nashuka Mwananchi,karaha ya folen tupa kulee
 
Kwa MwinyiAmani sasa hivi(mnyamani)
 
Sijawahigi kuipanda hiyo tereni aiseee

Nakukaribisha leo train ya saa mbili usiku nakulipia mimi,utaponda tena daladala za saa 1,uzuri wa train inakeep promise,ukimwambia mtu nakuja baada ya nusu saa unafika kweli
 
Ndio safari inaanza kutoka Station
 
Tumeikosa lori ya mafuta hapa Bakheresa,dereva wa train hana shabaha
 
Back
Top Bottom