Wito kwa Miss Neddy

Wito kwa Miss Neddy

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,333
Reaction score
17,870
miss neddy, please badili avatar yako mama......please

ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu

hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply hapa:coffee::bored::coffee::coffee:
Tyta hebu saidia avatar nzuri kwa huyu Miss
 
Last edited by a moderator:
hahaha hii avatar huwezi kumbadilishia..anaipenda hakuna mfano..kuna mtu aligombana naye (simkumbuki jina ) kwasababu nayeye kaitumia hii avatar.Hapa mkuu Kaizer vumilia tu...
1779292_348923338580058_1885952774_n.jpg

cc:miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikiwa kama paroko wa MMU nimeamua kumchagulia hii

images


Paroko mwenzangu wa Chit-Chat naomba baraka zako!!

hii naipitisha yaani ni 100% CC na MMU certified miss neddy sijui yuko jukwaa gani sasa hivi.....nadhani hata Tyta ataipitisha
 
Last edited by a moderator:
"Dont judge my behaviour it depend on who you are"

hiyo avatar ya miss neddy amu umeipenda? mi inanipa stress mbaya..walau awe na kama ya kwako

Vitu vidogovidogovkama hivyi havinipi shida unless niwe na interest.
Naogopa kukujibu kuwa hayanihusu.
 
Last edited by a moderator:
Vitu vidogovidogovkama hivyi havinipi shida unless niwe na interest.
Naogopa kukujibu kuwa hayanihusu.

haya chap chap sana amu kuja pande zile maana sikuoni
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi ccm sina hamu nao walituahidi ajira nyingi,elimu borq afya bora bali sasa wao ndo wanatajirika

yaani ukiwategemea hao ni sawa na mtu amtegemee mwanadamu...utakuwa umelaaniwa....au akili sio nzuri,,,siku hizi kila mtu tu anajifia kivyake vyake...forget about them
 
yaani ukiwategemea hao ni sawa na mtu amtegemee mwanadamu...utakuwa umelaaniwa....au akili sio nzuri,,,siku hizi kila mtu tu anajifia kivyake vyake...forget about them

Lakini walituhidi.
Ahadi ni deni.
 
miss neddy ni mpenzi wangu mimi!

Mimi ndie certified user wa huyu mrembo!

Wewe unakuja kuanzisha uzi hapa una interest gani nae?

Aisee mtuwache tulale!

Kwanza leo nimepewa assignment na huyu mrembo! Naifanya nikiwa ....! Teh! Mtuwacheeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
mkuu naamini miss neddy ata reconsider maamuzi yake bana

CC Eiyer

mhhhhhhhh gafla gafla no way hii ndo njia pekeeee ya kufikisha ujumbe kwa jk na serikali yake juu ya raia wezangu watesekao kijijin na kunyanyaswa na walowezi wa kizungu wanaokwenda na jina la wawekezaji yaani we acha tu i cant change this
 
Last edited by a moderator:
Switieeeeee! Naheshimu sana mawazo yako!

Wewe ni great thinker kabisaaaa!

Wachane wakuelewe!

avatar naipenda mnoooooooooi ndo mana hata jukwaaa la siasa siendagi kwa cheche zangu wanaweza kunipiga ban mnivumilie tu mpaka 2015 ntaitoa
 
Back
Top Bottom