Jf imeandaa party ya members wote wa Morogoro town,party itafanyikia Uruguru mountain hotel...karibuni sana,siku:4th march,2014 muda:kuanzia saa 2 usiku hadi majogoo!
for those who want to make money during their parting time just click the link below and see how things get to you when the cash flows in your pocket.it doesnt require you to have any certified...
Moja ya Maswali ya kuepuka kumuuliza mtu ikiwa hujaonana naye kwa muda fulani
1. umeshaoa?umeshaolewa?
2. una watoto wangap sasa?
3. kazi upo wapi?
4. huyu ndo mkeo?
5. huyu ndo mumeo...
2014 TUNAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFUATAYO:
1.nyama iuzwe kwa bei ya dagaa.
2.Nauli ya ndege kwenda S.Afrika iwe bure, coz ni mteremko.
3.Sukuma wiki ichunguzwe kwanini haiwez sukuma mwezi au...
Ni miaka kadhaa tangu mama na baba wakulete hapa duniani tarehe kama ya leo. Nami kwa upendo mkubwa naomba niwashirikishe member wenzangu wote wa JF katika siku muhimu sana ya leo.
CC...
Mke wangu tangu nimemuo tuna miaka 3 lakini ajawahi hata siku moja kujamba tukiwa wote muda mwingine anabana ushuzi mpaka tumbo linaunguruma nikimuiliza tatizo nini ananiambia tumbo la kawaida. Je...
Ni muda umepita nikiishi maisha ya kibachera baada ya kukwepa mizinga kibao ya kina Mwajuma huku wengine ni kila kwa mkopo, ila sitamsahau Pude pamoja na ujanja wangu wote wa kukwepa mizinga...
ipya wakati nipo kwenye magumu natafuta kila namna yakutoka mara limeibuka lingine kubwa zaidi yahaya ambayo tayari yanitesa mpaka najiuliza hivi inaweza tokea kwenye maisha mwaka mmoja tuu...
Baadh ya watu wanasema nyotanjema huonekana asubuh kweli asubuh imeshikilia cku nzima na wanasema ukianza kugombana asubuhi ckunzima inaweza kua hvyo
hata kwenye maduka wanasema mtuwa kwanza...
Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.