Naipenda sana jf.Mada ikiletwe ndani kama filigisi ya kuku inapasuliwa katikati afu watu wanaanza kutoa kilicho ndani,ngozi yake hutolewa kwa facts.Mwisho wa siku jibu hupatikana kama vile filigisi imeshakaangwa na kuiva tayari kula.
Vuta picha hii metaphor.I will never leave JF.
Vuta picha hii metaphor.I will never leave JF.