Screen touch

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Hizi touch screen zinavyosumbua watu mdada kanunua cmu mpya Screen touch

Mdada: Bebi mambwo? Jamaa: Poa nambie Mdada: Vipw umelalwa? Jamaa: Unasemaje? Mdada: Nauliza umelwala? Jamaa: Mhhhh! Cjalala baby hata ucngz cna

Mdada: Mim menyew cjalwala ---- mijitu inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa

Jamaa! Nin?

Mdada: kuna kelwele hapa nje ya numba yetu usingizwi hakuna kabiswa

Jamaa: hahahaa pole baby

Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sasa?

Jamaa: Jaribu kuandika vizuri hunny

Mdada: Hehehwehwe, cunajua cmu mupya alafu sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na nyingine. Pwelo bebwi wangu

Jamaa: Hahahaa haya dia

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Soma vizuri mkuu, Lugaya twaifa hiwoo

In this world nothing is certain than Tax and Death.
Humo kwenye red ni maneno ya mwanaume?
 
  • :shock:
  • :shock:

  • :shock:
    • :shock:

  • icon6.png
 
Hahahaaaa majanga,,,,,,, ingekua screen touch button zinachakaa ya kufuta ungekuta imeisha siku mtu aliyonunua simu kwa sababu inavyotumika ni shidaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom