donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wakuu,
nAPENDA Kumshkuru Mungu kwa siku yale maana kwa siku kama ya leo mnamo mwaka 1971 bwana donlucchese nilizaliwa. napenda sana kushukuru kwa wote mlio ni pm kunitakia sikukuu njema ya kuzaliwa, you guys made my day. Niko tu maeneo flani nimejichimbia na tafakari miaka inayokuja je mambo yatakuaje na nitayakabili vipi. Nasema asante sana wana chit chat na Tech. forum wote kwa kuniwish happy bday na mubarikiwe sana. Ok, mimi nipo nashuka Ciroc mdogo mdogo maana nimetoka Mohan's pale osterbay kuchukua stock ya maana!

Last edited by a moderator: