JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Husband sat quietly reading a newspaper [emoji65] Wife: Honey, I wish I was that newspaper. Husband: Why? Wife: So you could hold me in your hands all day.[emoji20] Husband: Oh. I wish you were...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Namshukuru Mungu kunipa tena kibali cha kutimiza umri huu! Nawatakia wale wenzangu tuliozaliwa tarehe kama ya leo na mwez huu!! happy birthday to us!
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa kijana Yericko Nyerere
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wengi wetu huadhimisha siku mbalimbali za maisha yetu kwa njia mbalimbali ikiwemo sherehe kubwa. Je ni sherehe ipi katika hizi ni mhimu kukumbukwa na kwa sababu gani! 1) Siku ya kuzaliwa 2) Siku...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Boy: "Hi, is your name Google?" Girl: (No, Why?) Boy: "Because you have everything I'm looking for.;)
1 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji28] [emoji28]
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii Kali Jamaa mmoja kakutana na demu mkalii Mlimani City... Akamfuata na kumuomba namba ya simu... akapewa wakiwa karibu na parking... Baada ya kupewa namba akamuaga binti akaelekea kwenye...
7 Reactions
21 Replies
6K Views
Mother, “How was school today, Patrick?” Patrick, “It was really great mum! Today we made explosives!” Mother, “Ooh, they do very fancy stuff with you these days. And what will you do at school...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu, nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night...
13 Reactions
175 Replies
30K Views
eti wanajamvi...!kwanini mtoto anapoumia au anapoadhibiwa hulia 'mama weeee' na si 'baba weeee;'
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika nchi ambazo zinatoa nafasi nyingi za kazi / ajira ni Sudan ya kusini na Somalia, na hazitoi tu nafasi za kazi bali hata kazi zake zenyewe nazo zina mshahara mkubwa na mnono lakini cha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa, Naandaa mkutano wa wanaMMU, lengo ni kukutana kimwili (physically) kwa ajili ya kujamiana (kusocialize). Naamini mkutano huo utatoa fursa ya kufahamiana, kubadilishana mawazo...
0 Reactions
71 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania. Leo ningependa tujadili jambo muhimu sana kwa mustakbali wa nchi yetu. Haswa katika kipindi hiki cha hapa kazi tu..... Leo ningependa tujadili kuhusu hiki kiungo muhimu...
2 Reactions
36 Replies
12K Views
Habari wanajamvi? Kwanza awali ya yoote bibie Faiza, Asalaam aleikhum! Kisha baada ya salam adhimu kwa ajili yako nimekaa nkajaribu kujiuliza.. Hivi kwa post na comment zako kwa thread za watu...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Yaani hizi tabia za kiswahili huwa zinastaajabisha sana km si kushangaza na kukereketa. saa saba mchana mtu anakuja Kukusalimia kwako mara anaanzisha stor kibao ili mda wa Msosi ufike cha ajabu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni...
0 Reactions
81 Replies
21K Views
Salamu zikufikie popote pale Ulipo Je hujambo? Mimi ni mzima wa Afya njema Lengo/dhumuni la andiko hili ni kutaka kujua mahali ulipo na Kukusalimia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Muda Si Mrefu Nilikuwa Natoka Kumtafuta ( Kwiyo Kwiyo ) Wangu a.k.a Kuku Vichakani Baada Kuniponyoka Na Kukimbia Na Wakati Namtafuta Porini Nimekutana Na Watoto Wadogo Kabisa WAKINGONOKA Huko...
0 Reactions
8 Replies
987 Views
Habari zenu wakuu, Leo jioni nategemea kuwa na ugeni mzito kwangu,nimepanga niwatoe dinner kwenye moja ya hotel nzuri hapa Dar. Binafsi nimefkiria Double tree by Hilton au Sea cliff, sina uzoefu...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Back
Top Bottom