TANZANNIA JF-Expert Member Sep 29, 2015 1,047 384 Apr 2, 2016 #1 eti wanajamvi...!kwanini mtoto anapoumia au anapoadhibiwa hulia 'mama weeee' na si 'baba weeee;'
damtanzania JF-Expert Member Aug 31, 2014 752 1,464 Apr 2, 2016 #3 Wangu huwa halii anapigana na kinacho muumiza
Kayenga jr JF-Expert Member Feb 16, 2016 443 348 Apr 2, 2016 #4 Ukiona hali baba weee ujue huyo sio wako umebambikiwa
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,136 Apr 3, 2016 #5 Hana uhakika kama ni baba yake kweli