JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale Mikumi, nilikua Mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
I mean living your life at the fullest or struggling to pay bills only?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo wanasema ni siku ya wajinga... Nani amenaswa leo? Share na sisi kama wajanja wamekupata leo....
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Sijui ni nani aliyeanzisha hii siku ya kipumbavu ya wapumbavu?,Kila kitu unaweza kuona ni upumbavu tu,uongo tu.Hata ukiletewa taarifa za mkeo anakucheat jua ni uongo tu,ni upumbavu tu.Ni siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Mlishawahi kujiuliza kuwa ni bora ukutane na mtiti wa nyati au huyu mdudu nyoka aina ya koboko? We ungependa ukutane na yupi hapa?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MCC-CCM=?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya...
7 Reactions
73 Replies
11K Views
Habarini.. Jaman nchi hii inabidi hospitali za wagonjwa maalumu ziongezwe. Maana tunakoelekea sasa hapana kwa kweli. Wakulima WANA-LAANI ardhi kuchukuliwa na wawekezaji. Jana wamewa-LAANI...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Chukua tahadhari, unywaji pombe kupita kiasi hupelekea upungufu wa kumbukumbu na matatizo mengine mengine......... ambayo siyakumbuki vizuri!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imefika mahali tunatakiwa kurudisha mazingira katika ubora wake. ...Itafutwe siku iwe maalum ya kupanda miti .
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Hivi ni kweli kuwa kila binadam huwa na dakika tano za ukichaa kila siku katika maisha yake? Naombeni mchango wenu katika hili
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number. Hivi hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu.Tamaa...
3 Reactions
121 Replies
11K Views
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili bango lipo pale opposite na Ofisi za Multichoice(Dstv). Lina ujumbe mzuri sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu wakuu, Hapa mtaani ninapoishi kuna kabinti nimekasotea sana kukatongoza mwisho wa siku kakanikubalia tuwe wapenzi, nikaanza kukomaa nako tukapatisha kama one week hivi kakaanza mara ooh...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja mkoani Mwanza, alikamatwa kwa kosa la kuwa na silaha aina ya gobore kinyume cha sheria. Siku ya mahakama kabla ya kesi yake kuanza, kulikuwa na kesi nyingine ya wizi wa ng'ombe...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom