Wakuu zile ban zimepotelea wapi? au nazo zilikua jipu? enzi zile ban zilikua kama sifa mi mwaka jana nilikula ban 35, au zinamuogopa magu? ban baaaaan nimekumis ban
Hatimae baada ya kufanya biashara hiyo kwa muda mrefu jipu lake latumbuliwa darasani ....akihoji mwalimu kama ifutavyo:
Mwalim aliingia darasan akauliza wanafunzi ukitoka shule unafanya nn...
Jamaa watatu walikodisha chumba kwenye hotel ya ghorofa 60, wao wakapata ghorofa ya mwisho kabisa, wakapanda kwa lift na asubuhi wakashuka kwa lift, jioni walivyorudi wakakuta umeme umekatika...
A 15-year-old came home with a Porsche and his parents began to yell and scream, "Where did you get that car?"
He calmly told them, "I bought it today."
"With what money?!" demanded his...
Yaani kwa mitandao yooooooote hapa duniani basi JF ndio MTAKUJA na HATOKI MTU HAPA. Hivi huyu muanzilishi wa JF katuwekea kimzizi gani?
Maana ukishaizoea JamiiForums utaifurahia kila siku...
Nini ni kile kitu kimoja unakiogopa zaidi na unajaribu kukikwepa kwa nguvu zako zote?!
Kinapokuja unakabiriana nacho vipi?!
Please share your story, it is through reading each other stories...
BEFORE MAGU
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa...
Natumai mpo sawa wapendwa,
Mimi ni mpenzi sana wa Hizo muvi,
Kwa sasa huwa naingia moja kwa moja youtube na kujipakulia muvi yoyote ile.
Naomba tusaidiane kuelekezana muvi nzuri sana ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.