Wrong number

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Hii Kali

Jamaa mmoja kakutana na demu mkalii Mlimani City...

Akamfuata na kumuomba namba ya simu... akapewa wakiwa karibu na parking...

Baada ya kupewa namba akamuaga binti akaelekea kwenye gari lake huku binti akimuangalia...


Basi akapanda RANGE ROVER EVOQUE yake na kuanza safari.. ndukiii

Kilichofuataaa..

.
.
.
.
.
.
.
.
Ni yule dada kuanza kufuata gari akiikimbiza.. huku akipiga kelele

Hiyo ni wrong number.... wewe... jamani .........ni wrong number hiyooooooo

😂😂😂😂😂😂
 
BASI MWISHO JAMAA AKASIMAMISHA GARI....kilichofata akachukua namba ya ukweli........
.
.
.
.
.
.
.
.
.majibishano yao usiku mmoja via sms
JAMAA:Mambo mrembo
Binti: safi hand some boy za toka juzi......
JAMAA:Swafi tu nambie...
Binti:nililipenda lile gari lako..
JAMAA:Kweli mrembo but mpenzi wako hana kama hilo...
Binti:aku mi sina mpenzi na sijawahi guswa mie..
JAMAA:HATA HIVYO lile si GARI langu NI LA RAFIKI YANGU msema kweli ni mpenz wa Mungu...
after three hours of silent.....
Binti;sorry nilikua na mpenzi wangu faragha.....na usintafute tena ok......

KWA MAONI NA USHAURI!.. NI PM


(usikos sehemu ifuatayo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom