Bujaga Izengo Kadago na hayati Prince Baina Kamukulu JidulamabambasiHabari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni kitojo...
Huwa nahamisha channelMimi ni Geoooorge Maratummmm,wa ITVmmmm!
Kuna jamaa anaitwa "Bashkash Juqsoday"Habari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni kitojo...
Aka Zamadam, ila watu mnapenda kuchekesha wenzenu asubuhi hii stand waonekane wehuFestus Makerubi
Aka Zamadam, ila watu mnapenda kuchekesha wenzenu asubuhi hii stand waonekane wehu
Huyu jamaa nami namkubali sana, nadhani ni msomali kule kaskazini Kenya. Jina lake la kipekee.Kuna jamaa anaitwa "Bashkash Juqsoday"