Najaribu kufikiri kuhusu Faizafox...

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
798
Habari wanajamvi?
Kwanza awali ya yoote bibie Faiza, Asalaam aleikhum!
Kisha baada ya salam adhimu kwa ajili yako nimekaa nkajaribu kujiuliza..
Hivi kwa post na comment zako kwa thread za watu nkapata mjumuisho juu ya kazi unayopaswa kufanya.
1.usekretari (secretary)
2.Mc (mistress of ceremony)
Zaidi ya kazi hizo utakua unabaka fani..
Mie nimejiwazia tu ustaadhat wangu waaaaala sina jengine..
Alaamsikh wabilah tawfiq.
 
Usijipendekeze kwa huyo dada atakuumbua, usimchukulie poa kabisa ukadhani ni mjinga fulani hivi, huyo dada anajua anachokifanya na kama huamini jiingize naye kwenye ligi kwa kutumia data ndio utamjua vizur
 
Huyu ni mmoja kati ya wakosoaji wazuri. Kinachogomba ni jinsi mapokeo ya ukosolewaji. Kwa mkosolewa hujisikia vibaya ila kwa wasomaji ni bonge la burudani. Binafsi naipenda sana kazi yake
 
Usijipendekeze kwa huyo dada atakuumbua, usimchukulie poa kabisa ukadhani ni mjinga fulani hivi, huyo dada anajua anachokifanya na kama huamini jiingize naye kwenye ligi kwa kutumia data ndio utamjua vizur
Unakipaisha ......
 
b84136adb010d230536a95e01cee01d1.jpg
 
Back
Top Bottom