mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,017
- 49,164
Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu, nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenya kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake.
Nikasikia mamaaaaa, mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia, mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu, shetani huyu jamani uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji.