Uzi maalum kuhusu makalio

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,600
Ndugu zangu watanzania. Leo ningependa tujadili jambo muhimu sana kwa mustakbali wa nchi yetu. Haswa katika kipindi hiki cha hapa kazi tu.....

Leo ningependa tujadili kuhusu hiki kiungo muhimu katika mwili wa binadamu. MAKALIO. Hebu fikiria leo hii usingekuwa na makalio. Au kesho unaamka unajikuta huna makalio...Baadhi ya wanaume wataona fresh tu lakini nna uhakika wanawake watalia kama sio kujiua...

Makalio yamekuwa mtaji kwa baadhi ya watu. Watu wamekuwa wakipewa magari na majumba kwa sababu tu ya makalio. Na wengine wamepata umaarufu mkubwa duniani kama kina Cherokee (The Boss upo?)...Hivyo ni kitega uchumi kikubwa sana kwa baadhi ya wadada na wakaka pia (sina uhakika kama jina la wakaka linawafaa)...

Na wengi wamekuwa wakiingia google kusearch mara nyingi utakuta terms kama "Big booty brazillian ..." au "Big black booty" na kadhalika..

Wengine wamekuwa wakitumia madawa na maoperation ya gharama kubwa kuongeza ukubwa wa makalio. Na sidhani kama sababu yao ni ili wawe wanakaa vizuri. Noo...Sidhani...

Anyways, em tutumie uzi huu kila mmoja kuelezea mtazamo wake kuhusu makalio na experience yoyote aliyonayo kuhusu makalio.

Nikianza mimi mwenyewe...

Mimi nna experience kubwa sana kuhusu makalio. Naishi mbagala kiburugwa huku. Kila siku kwenye kugombania magari nimekuwa nikitumia fursa kushika na kudadisi makalio ya kila aina. Na kikubwa nilichogundua ni kuwa makalio bwana ni noma aseee....Yani acha!


Kwa wanawake watakaochangia naomba waanze kuelezea aina ya makalio waliyonayo kama ni kontena au ni vimbegu vya ubuyu na kama ni flat screen au mambo yetu yalee...

Karibuni, nawasilisha.....Ningeomba tuwe serious katika kujadili hili jambo....Ahsanteni
wema.png
 
Back
Top Bottom