JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku hizi mitaa ya insta kumejaaa matangazo ya bidhaa za kuongeza makalio. Wenyewe wanakwambia mwezi tuu unapata mshepu wa kina Masogange. Pia kuna mikanda inauzwa wanaiita booty lifter hii kazi...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!! Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa.... mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. Mshkaji kajikunja...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!! Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. Mshkaji kajikunja...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
3 Reactions
1 Replies
7K Views
A teacher's letter to a parent: "Dear Parent, Katongole, your son, doesn't smell nice in school. Kindly encourage him to take his bath." Parent replies: "Dear Teacher, Katongole is not a rose...
6 Reactions
3 Replies
2K Views
I attended a burial ceremony yesterday. The tradition there demands that at every burial ceremony, an old man who is "sangoma" must come out and tell the people who will die next. And so the...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya kujifanya mie kidume mtaani na kupiga baadhi ya mademu waliokuwa wananiletea shobo sasa naona bwimbwi linanishinda Nilihamua kuachana na vishankupe hao baada ya my wife kugundua na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ushauri kwa wanaume... Dear men, 1. Kuwa na wanawake wengi hakukufanyi uwe mwanaume halisi, bali inakufanya uwe mvulana na kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mvulana. 2. Mwanaume halisi anae...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;- MUME: Natamani sana iwe hivyo. MKE: Vipi, wataka niondoke? MUME: Hapana hata kidogo. MKE: unanipenda? MUME: Ndo maanake. MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha Mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani kuna bidada jana kafanyiwa mchezo na mchumbake. Mchumba kampigia simu bidada huyu kwa namba mpya huku akibadili sauti na jina. Akajifanya mshefa mpya kabisa wamepeana namba hivi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
sema ww n mkazi wa pande zip na sasa uko wapi
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wandugu Siku hizi naona kila baada ya nyumba kumi kusa kanisa, ama kila mtaa unakuta makasina hayapungui matatu.. sasa kuna hilo jipya liko mtaani kwangu yani vinguo vinavovaliwa ni balaa ivi ni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Maisha ya uswazi kwenye nyumba ya kupanga nilikuwa poa sana kipindi cha nyuma mfano umeme ukikatika ghafla. Mimi uwanajitolea kununua hili tusilale kiza na hili joto lisitutese hata kama mchango...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu tunashuhudia mara nyingi askari wakipiga risasi angani, lakini hatujawahi kusikia zikirudi chini au kuziokota chini, sasa uwa zinaendaga wapi?
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Naapa kama nikienda tena Gongo la mboto basi nitapanda bodaboda ili kuepuka haya.Nilikuwa naamini mara nyingi wanaume wakwasi ndo wenye tabia hii chafu ya kuwabahishia wanawake kwenye daladala...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Stori inaanzia miaka ya 80 huko, kipindi damu inachemka, nilijuana na dada mmoja mzuri, mwenye upeo na uzuri wa kimaumbile. Baada ya kukutana mara kadhaa nilifall in love naye, na kwa kuwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
HILI JOTO MH! [emoji27] [emoji27] [emoji27] UNAWEZA UKAJIKUTA UMEFIKA DUKANI UNAMWAMBIA MUUZAJI NIPATIE VOCHA BARIDI [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
5 Reactions
6 Replies
2K Views
3 Reactions
2 Replies
1K Views
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom