Yuko wapi Perry? Nimemkumbuka Sana..

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Salamu zikufikie popote pale Ulipo Je hujambo? Mimi ni mzima wa Afya njema Lengo/dhumuni la andiko hili ni kutaka kujua mahali ulipo na Kukusalimia.
 
Haya uliyoyaandika hapa siungemtumia kama PM kuliko kujaza server za jf bila maana?
Huku Pm hajazi server!? Hapa cha kuomba ni bando zipandishwe bei na simu za kuchina zifungiwe ili ukiona mtu jukwaani awe wa maana tu
 
Haya uliyoyaandika hapa siungemtumia kama PM kuliko kujaza server za jf bila maana?
Kutajwa KAPUKU ni mwiko sio?
Kutajwa AKINA MAARUFU ni ruksa..

All members are equal but sameless

Proved !!
 
Back
Top Bottom