JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu Watanzania wenzangu, Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia...
8 Reactions
176 Replies
12K Views
Habari wakuu, Naomba nilete kwenu jambo langu mnishauri... Mchepuko wangu bana unapenda sana utani...Tena nimeshamkataza tabia hii ya utani utani muda mrefu haachi...Yani yeye nikichat nae...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nitajifunza soon
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana jioni iliingia sms kwa simu yangu, "tafadhali nipigie..". Nikajua labda ni mtu anayenifahamu, nikapiga. Ilipopokelewa tu swali la kwanza, "wewe nani?" Nikawa mkali kidogo maana yeye kama...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule...
12 Reactions
93 Replies
8K Views
Wanajamvi, mimi sjambo. leo nimejibazanza hapa kwenye ukumbi wa habari maelezo, nikiwa nimetizama ofisi za NHIF, jamani ndani ya dakika tano wamepita wadada, jinsi nilivyo ona na kwa ozoefu wangu...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndoto za dr.Pimbi, hahaa@@ ####Kuna siku nilikuwa maeneo ya Mjini kati (City Center), nikaipenda suruali moja ya shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo ikabidi niende kutoa kwenye ATM ya Postal...
6 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji120]
0 Reactions
5 Replies
999 Views
kama nilivyoikuta hapa best diamond platnumz won best insurance award source: Insurance: best diamond platnumz won best insurance award - Kwetu Shy blog
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eti huyu shori anataka nianze kumfukuzia na ameniambia kabisa kwamba inabidi nitie bidii kumfukuzia lkn mimi nimegoma kwa maana najua kwamba msela alikuwa anapiga kabla ya hapo wakamwagana, sasa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna jamaa walikuwa wanavuta bangi, kiberiti kikaisha. Wakamtuma mwenzao mmoja nje akatafute kiberiti, yule jamaa aliyetumwa akatoka akazunguka na kurudi tena ndani kwa wenzake akawauliza 'jamaa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Pale unapo kuwa nauhusiano na binti wa kinyaki....Afu we Mtanga Elly: hellow baby Atupile: Yes hubby Elly: Unaona hali ya hewa kimvua kinashawishi... Atupile: haswaaa tena kwa kilimo cha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello, Hello, Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
A young boy says to his father "Dad, our math teacher is asking to see you." "What happened?" The father asks. "Well, she asks me, 'how much is 7 * 9?' I answer '63' , then she asks, 'and 9 *...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika mazingira ya sio ya kawaida REPORTER anakuhoji wakati upo hoi
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye...
12 Reactions
111 Replies
8K Views
Husika na kichwa cha habarini hapo juu. Nikiwa memba wa JF tangu 2012 lakini kwasababu zisizoelezeka nikapoteza nywila ya kitambulisho changu cha awali,ikabidi tena nijisajili mwaka 2015, sasa...
7 Reactions
91 Replies
7K Views
Lady:ninunulie lunch Man: una boyfriend? Lady: yeah, why asking? Man: umewahi kusikia wafanyakazi wa Vodacom wakilipwa na Airtel ? [emoji15] [emoji15]
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Funguka kitu chochote ambacho hutaweza kukisahau katika maisha yako yote. Karbun
0 Reactions
181 Replies
17K Views
Back
Top Bottom