JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hakika slim girls wapo moyoni mwangu Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye...
13 Reactions
45 Replies
648 Views
Nataka tuanzishe hadithi mana kuna watu wanafikishaga hadith nusu sasa nataka tufikishe mwisho Yani anaanza mwenzako kisha wewe unaendeleza pale alipoishia mwenzako MFANO: HADITHI...
0 Reactions
4 Replies
73 Views
Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉 Nipo karibu sana na kufa...
19 Reactions
74 Replies
810 Views
Nawasalimu wakuu... Nafurahi sana kuiona Jf ikikua na members kuongozeka sana!! Nimetumia muda mrefu kidogo kusoma kinachoandikwa hapa jukwaani kwa sasa nikifananisha na tulikotoka... Naona sasa...
28 Reactions
1K Replies
66K Views
Kwenye maisha usijali ukikataliwa hata wasipokupenda we vimba na usijalishwe nao. Unaweza ukapenda ukatendwa jifunze kusahau na...
1 Reactions
6 Replies
64 Views
Huyu Bamedi leo kanikomesha aise. Nilikuwa kaunta napata Moja baridi Moja uvuguvugu, ghafla akatokea mwamba, yule mwamba kwa sauti ya majivuno na yamajigambo si akamwambia yule Bamedi: We...
0 Reactions
5 Replies
127 Views
Umepewa nafasi ya kuomba msamaha kwa kiungo chako kimoja cha mwili wako kwa matumizi mabaya, ungechagua kuomba msamaha kiungo gani?
4 Reactions
14 Replies
188 Views
Assalaam Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍, Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰 Happybirthdaymywizzzz🥰
19 Reactions
131 Replies
1K Views
Kisheria anatakiwa alipe bill na ya yule amekimbia au yake tu? Mwanzo kunakuwa na makubaliano ambayo mhudumu anahusika kuhusu mlipa bill?
6 Reactions
31 Replies
344 Views
1 Leo nimeota nimeenda kwenye shughuli kwenye kuandaa sasa nikaamshwa da nimekasilika sana 2 leo nimepanda baskel inayoachia mara paap ikaachia nikiwa mlimani mnajua kilichonikuta 3kijana...
1 Reactions
15 Replies
127 Views
Happy birthday to me Uzee una kuja kwa kasi
17 Reactions
95 Replies
701 Views
Salamu wakuu! Sio kila siku maisha magumu. Leo nipo hapa kurahisisha maisha ya watu, japo kwa kiasi kidogo cha vocha au bucket ya bia. Jitokeze, jishindie, furahia wikendi. Vigezo na masharti...
3 Reactions
174 Replies
8K Views
Kama Mtanzania anapenda kuzingatia nature , na anapenda vibe , aje vermont au oeragan, Kiranga
9 Reactions
25 Replies
318 Views
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga . Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili...
49 Reactions
187 Replies
1K Views
Wakuu, Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari. Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa...
13 Reactions
77 Replies
668 Views
Hell Una weza uka una ongea na mtu kwenye baada ya mda ana kwambia subiri nipokee hiii simu ana pokea mara ya kwanza af ana kurudia ile mna ongea tena huyoo tena ana kusubirisha yaan kiufupi...
5 Reactions
20 Replies
215 Views
jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa...
4 Reactions
9 Replies
232 Views
Hiv mwanaume kamili unawezaje ekeza ela yako kwenye kamari kama sio upumbavu. Fuga kuku,mbuzi,nguruwe,ngombe ama mfany biashara.maana mkamaria n mtu...
13 Reactions
68 Replies
701 Views
Back
Top Bottom