Una jisikia unapo subirishwa

Una jisikia unapo subirishwa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,883
Reaction score
67,334
Hell

Una weza uka una ongea na mtu kwenye baada ya mda ana kwambia subiri nipokee hiii simu ana pokea mara ya kwanza af ana kurudia ile mna ongea tena huyoo tena ana kusubirisha yaan kiufupi ukipigiwa simu au ukiMpigia simu huyo mtu ana kusubirisha kama mara tatu

Amfiki mwafaka una mtafasiri vip?
 
Mfano unaongea na mtu kisha akaipigiwa na mzazi,boss wake au simu yenye umuhimu kwa wakati huo kuna ubaya gani akikusubirisha naona haina noma labda kama wewe huna kazi ya kufanya.
 
Ni kumkosea mtu heshima kumsubirisha mtu ghafla, kwa ustaarabu kama ume staarabika hata uwapo kwenye maongezi na mtu ya ana Kwa ana, Simu ikipigwa omba samahani kwanza then sogea pembeni kidogo ili kuongea na simu Kama Ina umuhimu.
Una mwambia ivyo
Ila wapi
 
shukuru Mungu kusubirishwa vinginevyo utapewa jukumu la kukata kuna simu inanipigia
 
huyo mtu ana kusubirisha kama mara tatu
...ukiona hivyo jua tu kuwa wewe huna thamani kwake kama hao waliofanya akusubirishe...yaani nione simu ya GSM inaingia bado niendelee kuongea na mwamedi?!
 
Back
Top Bottom