Kuna maji haupendi maji wewe?Tuje kufanya nini ilhali hujui kuanzia neno Watanzania?
Angalia tusije tukakuokota piga chupa hio iwe ya mwisho nenda kalale shauri yakoLeo kazi ipo
Jamaa ana haraka sanaBwashee wewe Leo wa kukosea kuandika ama kweli pombe sio chai View attachment 3609489
Kabisa ,,,acha nitoe utabiri wangu ataleta Uzi mwengine na asubuhi ataleta Uzi wa kuomba msamahaJamaa ana haraka sana
Chupa hio iwe ya mwisho nenda kalaleBwashee wewe Leo wa kukosea kuandika ama kweli pombe sio chai View attachment 3609489
Ukijua umelewa usishike simu zima kabizi kaunta utanishukuruKabisa ,,,acha nitoe utabiri wangu ataleta Uzi mwengine na asubuhi ataleta Uzi wa kuomba msamaha
Akisema kuwa yule hakuwa yeye, ni mtoto alishika simu wakati anakunywa akawa anachezea na akawatukana watuKabisa ,,,acha nitoe utabiri wangu ataleta Uzi mwengine na asubuhi ataleta Uzi wa kuomba msamaha
Hahahahaaa safiiiiiKama mtanzania anapenda kuzingatia nature , na anapenda vibe , aje vermont au oeragan, Kiranga
Pombe sio chaiBwashee wewe Leo wa kukosea kuandika ama kweli pombe sio chai View attachment 3609489
Hili jina 'mTanzania' ama Tanzania embu tulipumzishe kwanza kwenye kipindi hiki kigumu cha msigano wa kieneo(bara/visiwani).Kama Mtanzania anapenda kuzingatia nature , na anapenda vibe , aje vermont au oeragan, Kiranga