Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Niliwahi kuwa na kampani fulani ya watoto wa kishua tupu.

Kuna siku tukatoka out mtu kama 12 hivi.

Nilifurahi muda ya malipo, kila alieshiriki anachangia, hata kama una hela ndogo wewe changia.
Ndivyo inavyotakiwa, halafu ambao hawachangii sasa wanakuwa waongeaji kweli kweli, mambo ya simba na yanga.
 
Wakuu,

Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari.

Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa kujali na kuthamini.​
Mawazo mazuri ila inategemea unatoka na nani, Mazingira gani, Na mtoko una maana gani
 
Back
Top Bottom