Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,376
Happy birthday to me
Uzee una kuja kwa kasi
Uzee una kuja kwa kasi
Shukran sana bint mzuri kama roho yako ilivyoo mim nakupenda swaa 😘Happy Birthday Mwachi
Shukran sana bint mzuri kama roho yako ilivyoo mim nakupenda swaa 😘
Umekosea jina ningekupa keki 😂😂😂Happy Birthday Felix😂
Yappp fei toto 😂😂Ungesubiri edit bana nimeiona hio fel sijui fei toto🤣🤣🤣🤣
Asante
Amina binti mpotevuIshi sana wewe 🥳💐
Thanks mama mchungaji usiku uniweke kwenye maombibirthday blessing chief
Sawa nidhulumu tuUmekosea jina ningekupa keki 😂😂😂
imeisha hiyo😊Thanks mama mchungaji usiku uniweke kwenye maombi
ya kwako lin nikuletee kipulizo, nyonyo na ponpon😂😂Unasherehekaje birthday mtoto wa kiume?
Anyways ishi saana mkuu
😂😂 tena ningekupa na wine mojaaSawa nidhulumu tu
🙏🙏 tukifika 45 tutaacha bossUnasherehekaje birthday mtoto wa kiume?
Anyways ishi saana mkuu
Aminaa bossHappy birthday Mike, ikawe kheri kwako mara nyingi .
Wako kwenye usaili hope ,taarifa unazo