Usiku huu, ulimwengu wa roho unashuhudia matembezi makali ya shetani na jeshi lake la mapepo, usiku unaoambatana na dhoruba za kila aina ya uharibifu ambapo mkuu wa giza anajipenyeza kama upepo wa...
Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio...
Huu uzi mahsusi kwa wale wanaokosa ucngz kuanzia saa 7 mwisho 12 asubuhi mimi hua nakosaga ucngizi mara kwa mara so nimeamua kufungua huu uz wakuu kwa ajiri ya kuchat na member humu jukwaani japo...
Sometimes huwa najiuliza, kwa nn Nature inafeli kufata mkondo wake. Unakutana na jimama au jidada lina mitikasi, identity na personality na kiume kabisa. Kuanzia roho, akili na kiasi cha ujeuri...
Kuna wengine hadi leo yamekolea hadi kuwa sehemu ya maisha yao.
Mimi waliniita MANDINGO, linipofatilia lilikuwa jina la mcheza porno wa kiume😃😃, sababu nilikuwa napenda wasichana sana na...
Siku
mgeni akija home kuna ile siku mzazi akijipata mfukoni na pesa ya kinywaji kimoja tu cha mgeni, na kwasababu ana tamani sana kumpokea vizuri mgeni wake, na kumpa chochote kitu, basi soda...
Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku...
Inaitwa Brutal beer! Jina moja la kibabe sana! Yaani BIA KATILI
Kama hujawahi kuiona kwa sura unaweza kuogopa sana.. Lakini once unapoiona unaanza kupata mashaka
.Chupa yake ni ndogo halafu kimodo...
Hii thread ni ya kuchana singer anaanza mwenzako unakuja kuendeleza kwa reply
NAANZA
Ety nilikua safari naenda zanzibali kufika kwenye meli nikaiona pisi kali kaifuta kwenda kujalibu zari dada...
Wangapi walitupenda wakaondoka hawaja rudi, we live once tuki ondoka haturudi.
Kupishana mawazo jambo la kawaida tu, usi catch feeling sana akati wote wapitaji tu.
Tabasamu waki kufurahisha...
Mna pungukiwa nini kufunga profile zenu , au nini kinaongezeka ?
Mbona sisi hatufungi na hakuna baya ?
Na ni kwamba mna ambizana ama?
Maana wamebaki wachache sana karibu na hamna wote mmefunga...
Hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo...
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
She makes the forum to be on good mood.Her love stories are perfect and amazing.I am always bored when his not around.I like thread she normally posting on the forum.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.