Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Nataka tuanzishe hadithi mana kuna watu wanafikishaga hadith nusu sasa nataka tufikishe mwisho
Yani anaanza mwenzako kisha wewe unaendeleza pale alipoishia mwenzako
MFANO:
HADITHI INAANZA
Ep 1 kijana mmoja akiwa barabarani anaonekana kusongwa na mawazo mara ghafla anaona ITAENDELEA
sasa endelea nilipo ishia tufurahi kwa pamoja
KARIBUNI WOTE