Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,909
- 3,724
Kwenye maisha usijali ukikataliwa hata wasipokupenda we vimba na usijalishwe nao. Unaweza ukapenda ukatendwa jifunze kusahau na umove on.vimba naendelea utapata atakae kufaa.
Usiwahi lipa kisasi kwa wale waliokukataa wasemehe ili uwe huru.revenge doesn`t help anything always forget and continue.
Usikate tamaa vimba usijalishwe nao maana kelele za chura hazimnyim tembo kunywa maji.