Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,066
Reaction score
166,595
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .

Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
Ukisema ibara ina sound kitapeli tapeli bwashee
 
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .

Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
Maskini wa akili na fikra wanapenda sana kuwaamulia watu namna ya kuishi badala ya kushughulika na matatizo yao 😅
 
Back
Top Bottom