Mna pungukiwa nini kufunga profile zenu , au nini kinaongezeka ?
Mbona sisi hatufungi na hakuna baya ?
Na ni kwamba mna ambizana ama?
Maana wamebaki wachache sana karibu na hamna wote mmefunga...
Hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo...
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
She makes the forum to be on good mood.Her love stories are perfect and amazing.I am always bored when his not around.I like thread she normally posting on the forum.
Wakati mwingine najiuliza, mapenzi ya zamani yalikuwa na ladha tofauti au sisi ndiyo tumeharibu maana yake?
Angalia Suleiman na wimbo wake
Busu zake zinibusu...(Wimbo Ulio Bora 1:2)
Nimekupata...
Kichwa kinajieleza
mimi napenda sana hadithi sasa kila nikisachi naona!!!! matokeo yanakuja jf"" nimesoma hadithi nyingi sana za UMUGHAKA @ Abdallah king Analyse n.k juzi juzi ndo nika aamua...
Mzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina...
Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?
Pia, ikiwa mwanaume huyo...
1. Pesa hutibu msongo wa mawazo
2. Pesa hutibu gonjwa la upweke
3. Pesa hutibu punyeto
4. Pesa hutibu vidonda vya tumbo
KAMA MDAU UNAUMWA HAYA MAGONJWA TAFTA PESA UTAPONA
Nawaza kufungua biashara ya kuuza vifaa vya mazishi kama sanda, marashi, majeneza, gari za kubebea marehemu na n.k
Kwenye hii biashara nataka iwe na mzunguko sana na mauzo mengi.
Hapa nitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.