JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji...
4 Reactions
6 Replies
126 Views
Enzi hizo Tanzania tulikuwa na kituo kimoja cha radio, RTD. Piga ua ilikuwa lazima tu usikilize vipindi vyao vile vya ajabu ajabu kama vile, 1. Mbiu ya mikoa 2. Asilia salamu 3. Ukulima wa kisasa...
0 Reactions
73 Replies
12K Views
Mbishi:Mimi siachi kula nyama choma,mimi nitaendelea kula kila saa,nitaendelea kunywa pombe na soda,hatukuja duniani kua walinzi wa dunia,hakuna anaeishi milele mimi: 😂😂😂😂😂siku yake itafika tu🫣...
5 Reactions
41 Replies
514 Views
Mosi: uchawi wa farakana unalenga kuvunja mahusiano na kuleta chuki, utengano, au migogoro mikubwa kati ya wanandoa, wanafamilia, au marafiki waliokuwa wakipendana sana. Pili, uchawi wa gundu...
3 Reactions
13 Replies
184 Views
Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa...
22 Reactions
55 Replies
541 Views
Do you believe in love? ❤️ Wadau, mnaamini kweli katika upendo wa kimahaba, au siku hizi ni hadithi tu? Je, kuna mtu unampenda? Anajua hilo? Na unahisi anathamini upendo wako au hauoni kabisa...
13 Reactions
262 Replies
2K Views
Siku nyingine Tena 🙏
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Nyuzi zao ni uhakika wametupa raha kweli na burudani huu mwezi. asanteni wakuu endeleni na moyo huohuo wakutuburudisha.
0 Reactions
14 Replies
122 Views
Ni tembo na nyati ni walaji wazuri wa mirungi.. Na wanakula ile fressh kabisa halafu free of charge na hawakamatwi na police Zinaitwa raha za mwituni😋😎😀 https://www.facebook.com/share/v/1CJ11maTpt/
4 Reactions
24 Replies
344 Views
Familia hotuba ya Trump MBELE ya Civilian-Coin
5 Reactions
22 Replies
451 Views
https://www.facebook.com/share/v/1BVTA15BYj/
1 Reactions
0 Replies
47 Views
Kwenye moja na mbili mkoa x nimefungua famasi , inauza jumla na reja reja , inafanya vizuri . Picha lianza kibaka mmoja yupo hospital x kanichongea kwa mfamasia wa mkoa , mbaya zaidi...
15 Reactions
33 Replies
312 Views
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia...
46 Reactions
966 Replies
11K Views
Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora. Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwa mimi Nilijuta. Nilimpenda so nikampa smartphone WiFi iko home 24/7. Show niliona .. ndo alipoanza kubadilika.. kulala saa nane usiku, kuamka mpaka umwamshe. Vyombo unarudi unavikuta. inshort...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
18 Reactions
109 Replies
1K Views
Huu ni utajiri au umasikini? Shule zinakaribia kufunguliwa, na nina watoto zaidi ya 13 na wote wanasoma zile shule wanazofundisha 'a for apple'. Kila mmoja anatakiwa alipiwe deni la ada...
5 Reactions
31 Replies
249 Views
Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni...
6 Reactions
17 Replies
307 Views
Mimi serengeti lite ndoh unyama wangu nikiona hivi mate inadondoka.hata saiv najipigie tu wadau karibuni.
5 Reactions
34 Replies
278 Views
Back
Top Bottom