Joseph midimu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2024
- 234
- 428
SASA MWALIMU,, WA MATHE MSHAHARA UNAPELEKAGA WAPI MBONA KINYONGE!🤐
Ahahahaha!,, ahahahaha.
Hauniathiri chochote wewe piga kelele tu
Hebu tuijadili,, maada kiukweli ualimu unaweza kukutoa kimaisha mtoto wa masikini.?Hauniathiri chochote wewe piga kelele tu
Waliokuwa kwenye hiyo field wanaweza kujibu vizuri zaidi hili swaliHebu tuijadili,, maada kiukweli ualimu unaweza kukutoa kimaisha mtoto wa masikini.?
Wala hainisumbui mimi ukifeli utajua wewe na wazazi wako😏Hauniathiri chochote wewe piga kelele tu
Unakuzidishia tu kisirani muda wote hasira hazikauki kama umenyimwa cha asbh🤦🏽♀️Hebu tuijadili,, maada kiukweli ualimu unaweza kukutoa kimaisha mtoto wa masikini.?
Waje chapu!Waliokuwa kwenye hiyo field wanaweza kujibu vizuri zaidi hili swali
Tuwasubir watakuja
Waje chapuWaliokuwa kwenye hiyo field wanaweza kujibu vizuri zaidi hili swali
Tuwasubir watakuja
Ahahahaha!Unakuzidishia tu kisirani muda wote hasira hazikauki kama umenyimwa cha asbh🤦🏽♀️
Yaani wewe mtoto hautokuja kufaulu somo langu 😠Wala hainisumbui mimi ukifeli utajua wewe na wazazi wako😏
We jamaa hilo Surname lako linakuonyesha hauna utimamu wa akili 😏
Yaani wewe mtoto hautokuja kufaulu somo langu 😠
Cha asibuhi ushawahi nyimwa mara ngapi wewe km wewe?Unakuzidishia tu kisirani muda wote hasira hazikauki kama umenyimwa cha asbh🤦🏽♀️
Mimi sio mganga ila hiki kiatu kina harufu ya kijani😢😁😁
Na nani sasa mkuu?Cha asibuhi ushawahi nyimwa mara ngapi wewe km wewe?
Mwalimu wa MatheNa nani sasa mkuu?