Subiri nijaribu ku relateKila mtu ana uwendawazimu wake, tatizo n uwendawazimu ukizidi kikomo.
Nitabirie na mm 😎Nakutabiria utashinda betting leo.
Uwendawazimu wangu unalingana na uwezo wangu 😎Uwendawazimu wako haufanani ni hatari aise
Leo hautakula makande wala samaki.Nitabirie na mm 😎
Zile za shabaZile nyingine vaa wewe buda
Nna zaidi ya miaka sijala hizo mambo.Leo hautakula makande wala samaki.
Maana umeandaa kifungio cha mapesa.hahaha acha zako bro