Ugiligili

Ugiligili

Ugiligili wa K unapimwaje?
Ugiligili wa K (ambao kitabibu unajulikana kama Cerebrospinal Fluid - CSF au ugiligili wa ubongo na uti wa mgongo) unapimwa kupitia utaratibu maalum wa kimatibabu unaoitwa Lumbar Puncture au Spinal Tap.
24fc87cc-f33c-462e-9d1d-c42fa842cad8.jpeg
 
Kanusho la Archimedes linasema kwamba kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligili😂 , kinasukumwa juu na kani mnyenyuo ambayo ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika au kuondolewa na kitu hicho
Dah! Wewe jamaa 🤣🤣🤣
Archimedes principle Kwa kiswahili " kama kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligili kinapata kani mnyenyuo ambao ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika"
 
Kanusho la Archimedes linasema kwamba kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligili😂 , kinasukumwa juu na kani mnyenyuo ambayo ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika au kuondolewa na kitu hicho
🤣🤣 Mzee mwenzangu hiyo ni lugha Tu. kani mnyenyuo=kani inayosukuma juu (upward force aka upthrust)
 
Back
Top Bottom