Ndivyo unavyojidanganya? Bila shaka wewe bado ni mchanga ki-umri na mbaya zaidi umekulia kwenye umaskini.1.pesa hutibu msongo wa mawazo
2.pesa hutibu gonjwa la upweke
3.pesa hutibu punyeto
4.pesa hutibu vidonda vya tumbo
KAMA MDAU UNAUMWA HAYA MAGONJWA TAFTA PESA UTAPONA
Anza mwenyewe changamoto IPO kwako kwa1.pesa hutibu msongo wa mawazo
2.pesa hutibu gonjwa la upweke
3.pesa hutibu punyeto
4.pesa hutibu vidonda vya tumbo
KAMA MDAU UNAUMWA HAYA MAGONJWA TAFTA PESA UTAPONA
Anza mwenyewe changamoto IPO kwako Kwanza jihudumie uhudumiwe1.pesa hutibu msongo wa mawazo
2.pesa hutibu gonjwa la upweke
3.pesa hutibu punyeto
4.pesa hutibu vidonda vya tumbo
KAMA MDAU UNAUMWA HAYA MAGONJWA TAFTA PESA UTAPONA
Vipi mkuu ufukara unasaidia kitu Gani?Sio kweli
1. Pesa inakupa pressure ya usalama wako na familia yako.
2. Pesa inakuletea wanafiki wengi kuliko wanaokupenda au kukuheshimu Kwa dhati.
3. Pesa inaleta msongo wa mawazo kwani hofu ya kuipiteza ni kubwa sana na hivyo nguvu kubwa hutumika ktk kujilinda.
4. Wenye hawalali usingizi wa kutosha asee. SIIPENDI PESA
Nimeongea Kwa ushadi, Nina pesa ndio mana SIIPENDI. Wewe huna, ndio mana huelewi.unajidanganya mkuu vyote hivyo si sahihi.
Swali lako halina mahusiano na comment yanguVipi mkuu ufukara unasaidia kitu Gani?
mazoezi ni tiba muhimu zaidi katika kila ugonjwa gentleman 🐒1.pesa hutibu msongo wa mawazo
2.pesa hutibu gonjwa la upweke
3.pesa hutibu punyeto
4.pesa hutibu vidonda vya tumbo
KAMA MDAU UNAUMWA HAYA MAGONJWA TAFTA PESA UTAPONA
Haya kula bia nakuja kulipaSwali lako halina mahusiano na comment yangu
Bia muhimu bwasheeHaya kula bia nakuja kulipa
Utaikosa pepo sheikh wangu acha biaBia muhimu bwashee