Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Kajiunga wiki iliopita.Hivi wewe umekuwaje senior member?
Duh kumbe!Kajiunga wiki iliopita.
HahaaaHivi wewe umekuwaje senior member?
Kwamba simu inasapoti intanet Ila haisapoti kufungua email?Kipindi kile Kila nikitaka kujiunga naambiwa lazima niwe na email, nikiangalia natumia kiswaswadu hakikubali kufungua email.
Ikabidi niwe mpole.
Mpaka 2018 niliponunua simu Fulani hivi ilikuwa na email nikaitumia kufungua akaunti yangu hapa jf.
Mpaka Leo email niliyotumia kufungulia hii akaunti yangu si yangu. Maxence Melo hii itaniletea shida baadae?
Mpaka ufikishe miaka miwili ndo unaanza kupewa, mi nilishaanza kupokea mgao wangu
Du mimi mwenye natumia kiswaswadu lakini imekubaliKipindi kile Kila nikitaka kujiunga naambiwa lazima niwe na email, nikiangalia natumia kiswaswadu hakikubali kufungua email.
Ikabidi niwe mpole.
Mpaka 2018 niliponunua simu Fulani hivi ilikuwa na email nikaitumia kufungua akaunti yangu hapa jf.
Mpaka Leo email niliyotumia kufungulia hii akaunti yangu si yangu. Maxence Melo hii itaniletea shida baadae?
N simu gn hy?
Subira huvuta heri 🙏Mpaka ufikishe miaka miwili ndo unaanza kupewa, mi nilishaanza kupokea mgao wangu
Ila nachukua asilimia ishirini ya mgao wako kama blocker wakoSubira huvuta heri 🙏
Senior member na Jf expert member nani anastahili kuwa juu? ?Hivi wewe umekuwaje senior member?
kumbe nifundishe basi na mimi nikatafute mtaji wangu kutoka FacebookIla nachukua asilimia ishirini ya mgao wako kama blocker wako
sijawahi fatitilia! nilijua seior ndio mkuuSenior member na Jf expert member nani anastahili kuwa juu? ?
Zilikuwa zile tecno ndogo za batani, hata Leo zipo simu zinasapoti intaneti ila hauwezi kufungua email.Kwamba simu inasapoti intanet Ila haisapoti kufungua email?
N simu gn hy?
Au n ww tuu ulikuwa hujui namna ya kufungua Email?
shida hii ya kuruka u new member mpaka u expert membersijawahi fatitilia! nilijua seior ndio mkuu