JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likiwa na picha inayomuonesha waziri wa mambo ya ndani ya nchi, patrobas katambi, likidai kuwa amesema:"mnaotaka kunishitaki nendeni mahakamani niwasweke ndani, sitaki kuwapa faida kwa sasa." chapisho hilo linaambatana na ujumbe unaosema:"kama mnahisi sina mamlaka hayo na mnakwenda mahakamani mkijua kabisa mimi ndiye waziri wa mambo ya ndani ya nchi, basi tukutane hukohuko ili niwabane vizuri kwenye utawala wa sheria. kwa sasa siwezi kujibu maana nitawapa faida tu watu hao." — patrobas katambi. je ni upi uhalisia wa nukuu hiyo?
Kumekuwepo na video ambayo imechapishwa na kusambazwa na baadhi ya vyombo vya habari pamoja na watumiaji wa mitandao ya kijamii wakidai kuwa inaonesha madhara yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi lililoikumba Venezuela, ambalo linadaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,450 pamoja na uharibifu mkubwa wa makazi, miundombinu na mali mbalimbali. Katika kufuatilia uhalisia wa madai hayo kwa kutumia nyenzo za kidijitali, ikiwemo utafutaji wa picha kwa kutumia mbinu ya reverse image search, imebainika kuwa video hiyo si ya tukio linalodaiwa kutokea nchini Venezuela. Ufuatiliaji kupitia chombo cha khabari cha ihalas news agency umebainisha kuwa video hiyo ilirekodiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Uturuki mwezi Februari...
Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikidai kuwa kuwa na maneno yafuatayo "Kwa nini CHADEMA imemuua dereva wa Heche?" Katika kufuatilia ju ya kile ambacho kimechapishwa imebanika kuwa graphic hiyo inapotosha umma kwa kutoa hitimisho lisiloungwa mkono na ushahidi kuhusu kifo cha aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Suezi Dani Maradufu, ambaye alifariki akiwa katika nyumba ya kulala wageni mkoani Kigoma. Aidha, ufuatiliaji umeonyesha kuwa graphic hiyo imetengenezwa kwa kutumia nembo na muundo unaofanana na wa Jambo TV. Hata hivyo, chombo hicho kwa sasa kimefungiwa kufanya shughuli za utangazaji na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hivyo taarifa hiyo kubanika kuwa ni potofu Sambamba...
A claim has been circulating on social media platforms, including Facebook, Instagram, and X (formerly Twitter), alleging that Nkosikhona Ndabandaba, a leader of anti-illegal immigration groups in South Africa, stated that South African women who are married to undocumented (illegal) migrants should leave South Africa. What is the truth behind this claim that has been rapidly circulating across social media platforms in South Africa and other countries? The post have been shared here,
Tunachokijua Claim A viral image circulating on Social media claims that National Unity Platform (NUP) president Robert Kyagulanyi, popularly known as Bobi Wine, posted on X (formerly Twitter) saying: "I will not be coming back to Uganda and I have no problem with @mkainerugaba standing as president of Uganda and from day I have left Ugandan politics everyone for him self now." The post implies that Bobi Wine has abandoned Ugandan politics and endorsed Gen. Muhoozi Kainerugaba's presidential ambitions. What We Know •A review of Bobi Wine's Verified X account shows no record of such a post. The viral screenshot contains several indicators that it has been fabricated. •The alleged statement is riddled with grammatical and...
A viral post has been circulating on Facebook featuring what appears to be a quote attributed to Uganda's Chief of Defense Forces, Muhoozi Kainerugaba. The quote reads as "I have overthrown my father and am now the President of Uganda. And I am tired of pretending." The post has continued to spread widely across social media, with some users claiming it is an official statement by the Ugandan military chief announcing that he has overthrown his father, President Yoweri Museveni. However, a review of Muhoozi Kainerugaba's official posts on X (formerly Twitter) the platform he frequently uses to share his views and official statements found no evidence that he ever published such a post. There is no official statement indicating that he...
kumekuwepo na picha ambayo imechapishwa kwenye mtandao wa facebook ikiwa na nukuu ya kuwa raia wa urusi wanaondoka eneno la crimea kwa huhofia mashambulizi ya urusi katika chapisho hilo ambalo linaonekana kuwana nukuu ifuatayo “Hali ya usalama katika mkoa wa Crimea imezidi kuwa mbaya kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya Ukraine dhidi ya miundombinu ya kijeshi na nishati. Katika chapisho hilo imedai kuwa foleni kubwa zimejitokeza kwenye njia za kutoka katika mkoa wa Crimea huku baadhi ya magari yakiachwa njia baada ya kuishiwa mafuta, wakati sehemu kadhaa zikiripotiwa kukumbwa shida kubwa ya kukatika kwa umeme.
Back
Top Bottom