JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kumekuwepo na machapisho kadha wa kadha kumuhusu kunguni katika moja ya mjadala inayoendelea kwenye mitandao kupitia tovuti ya Mchinga blog imechapisha kuwa mdudu kunguni anaweza kuishi takriban miezi 18 bila kufa na akaendelea kuwa hai. Katika chapisho ambalo lina nukuu ya jumbe zifuatazo “Kunguni ni mdudu wa ajabu sana.Mdudu huyu hupenda kuishi maeneo waishipo binaadamu kwa kuwa chakula chake kikubwa ni damu y a binaadamu. Wadudu hawa hupenda kuishi vitandani na kujificha katika vipenyo vidogovidogo vya kitanda,au sehemu zinazofanana na hizo. Kinachostaajabisha sana kwa mdudu huyu ni kwamba, KUNGUNI anaweza kukaa hadi miezi 18 bila kula na akiwa hai.katika hali hii kunguni huwa bapa zaidi na kubadilika rangi kutoka nyekundu/kahawia...
Back
Top Bottom