JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Wakuu NImekutana na huu ujumbe unaodaiwa kuchapishwa na Halima Mdee kupitia ukurasa wake wa X ingawa sijaiona je uhalisia ni upi? "tulifanya makosa wengine kwa kujua wengine kwa bahati mbaya, wengine waliondoka kwa sababu ya mifumo iliyo kuwa inalalamikiwa.,,msituhukumu kwa mapito yetu Bali fungueni Milano karibiaheni wakosaji Wanao jutia na kuomba msamaha, haturudi kutafuta vyeo Bali kuongeza Nguvu ya kumuondoa mkoloni mweusi ili tuapte katiba mpya #Free tundu Lissu Je mtatuhukumu Hadi lini? Kama Kuna adhabu ttupe ili tuitumikie lakini turudi kwenye njia ya Mapambano"
Kumekuwepo na chapisho linasambazwa mitandaoni huku likiambatana na picha ambayo inamuonesha paul makonda likinukuu kuwa vyama vya siasa vitabaki kama vilivyo, hakuna chama kitakachofutwa. Lakini ni vyema kutambua kuwa chama kinachoongoza nchi ndicho kinachoamua kupanga utaratibu wa mifumo yote ya taifa ili kutimiza ahadi zake kwa wananchi. katika chapisho hilo limedai kuwa mpango wa serikali ya chama tawala ni kwamba kila mtu anatakiwa kuwa na kadi ya CCM ifikapo mwaka 2030, ili aweze kupata huduma za msingi za serikali. Bila kadi hiyo, mtu hawezi kupata leseni, cheti, barua ya mwenyekiti, hata pasipoti. vilevile katika chapisho ambalo linasamabzwa na watumiaji wa facebook lina jumbe ufuato "Hakuna chama cha siasa, kitakacho futwa...
Claim: A statement circulating on X and other platforms alleges that President Museveni directed the Bank of Uganda to demonetize the 50,000/=, 20,000/=, and 10,000/= notes. The message claimed this was to curb corruption, counterfeiting, and illicit financial flows. What we know: State House Uganda issued a clarification on May 19, 2026, stating the message was FAKE. The Presidency emphasized: “This statement is FALSE and did not originate from H.E. the President, State House, or the Bank of Uganda.” There is No official directive or announcement exists on the State House website or the Bank of Uganda’s communication channels. Official X channel of UBC the National broadcaster also dismissed the claims regarding them as false...
A viral video claiming that the Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) reached an agreement with matatu operators in Nairobi’s CBD is misleading. In reality, no deal has been finalized, and the transport strike continues to paralyze the city. Matatu operators launched the strike after EPRA raised diesel prices to KSh 242.92 per litre, a move they say makes operations unsustainable. Although EPRA later announced a KSh 10.06 reduction in diesel and a sharp increase in kerosene prices, matatu associations rejected the adjustment as inadequate. As a result, commuters remain stranded, walking long distances to and from the CBD. The government’s attempts to mediate have so far failed, with operators insisting on deeper cuts. The...
The X post by TheAnkoleTimes on May 15, 2026 portrayed how Moses Magogo fled the country. The post stated: “According to information reaching our desk, Eng. Moses Magogo, the husband of Anita Among, has fled the country. We shall keep you updated.” The Claim Moses Magogo allegedly fled Uganda amid ongoing political tensions surrounding Speaker Anita Annet Among who is undergoing a high level investigation on allegations of Corruption and Abuse of Office. Moses Hashim Magogo. Moses Magogo is the President of the Federation of Uganda Football Associations (FUFA) since 2013, and was recently re- elected Member of Parliament for Budiope East in Buyende District . He was publicly sworn into Uganda’s 12th Parliament on 12.May 2026, with...
Na Dr. Zack, Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Mhe. Heche John, amepongeza juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kufungua njia ya maridhiano ya kitaifa na mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kwa kushirikisha wadau mbalimbali wa taifa. Mhe. Heche alitoa kauli hiyo leo Mei 16, 2026 wakati wa uzinduzi wa Operesheni #KatibaMpya #FreeLissu uliofanyika katika Mji Mdogo wa Katoro, Mkoa wa Geita. Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo, alisema kuwa juhudi za Rais Samia katika kuhimiza maridhiano na mazungumzo ya kitaifa ni hatua muhimu inayopaswa kuungwa mkono na Watanzania wote kwa manufaa ya taifa. “Tunatambua juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia...
The Claim A viral video circulating on X, TikTok, and WhatsApp allegedly shows Gen. Moses Ali delivering a speech during his swearing-in ceremony as Member of Parliament for Adjumani West on May 13, 2026. The post on X by nasser_Ug1 carried the caption: “The Lion of Adjumani, Gen. Moses Ali, has officially taken his oath. A living legend, still standing strong for Uganda.” The video bore the logo of “Entebbe City TV” on TikTok and had attracted Over 85,000 views, 278 comments, and over 200 reposts by the time JamiiCheck reviewed it. It was also widely circulating in WhatsApp groups. Verdict: MISLEADING JamiiCheck established that the viral video is old and was not recorded during Gen. Moses Ali’s swearing-in ceremony on May 13...
Back
Top Bottom