Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu. Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi. Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana. Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa. Katoa asist matata mechi ya Al...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Rejea headline hapo juu, Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kweli Bora upewe akili kuliko Mali, msemaji wa Misondo Fc ( Ahmedy Ally) amejisahaulisha kabisa Kama kuna mashabiki walitimuliwa na polisi na waengine walichezea makofi hadharani baada ya kuanza...
1 Reactions
4 Replies
723 Views
Kwa nilivyoona speech yake kwenye press ya jana ni asilimia 100 kuwa Ahmed Ally ni mwehu kabisa maana anaongea vitu vya kipumbavu kabisa. Nina mashaka na elimu yake huenda hana elimu, ni chawa...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Ifike wakati tuheshimiane. Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level. Unawezaje kuilinganisha timu bingwa...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Klabu Ya Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU. Yanga SC imekamilisha Usajili wa Kiungo Huyo Fundi Kutoka Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu Shekhan...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech. Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi...
11 Reactions
952 Replies
67K Views
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Uwanja wa Old Trafford umekuwa mchungu kwa wenyeji Manchester United baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Bournemouth katika Premier League. Kipigo hicho ambacho ni cha 7 katika...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokana falsafa yake wakati anaiongoza RS Berkane, USM Alger(Timu pekee nilizomfuatilia) nilikua na ukakasi wa mapokezi ya falsafa ya Benchikha kwa wanasimba. Lakini niweke wazi, Once facts...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa...
10 Reactions
125 Replies
7K Views
458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ni Desemba Mosi 2023, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni.
4 Reactions
115 Replies
5K Views
Wakuu sasa ni mwaka wa 3 kama sikosei ligi ya Tanzania kuwepo kwenye rank ya ligi bora Africa, lakini timu zetu zinakosea wapi? Tukiweka ushabiki msimu uliopita Yanga walifika fainali ya...
1 Reactions
11 Replies
995 Views
Baada ya mechi ya Medeama vs Yanga kumekuwa na kelele nyingi kuhusu goli la clear offside la Kibabage, ila wengi walifumbia macho matukio kadhaa ambayo refa alimezea ambayo yangewapa faida...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu. Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom