Gerson Msigwa aishtaki Yanga SC kwa TFF na kutaka haraka sana ilipishwe Mamilioni kwa kuharibu Miundombinu ya Mkapa Stadium

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
Mwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.

Chanzo: Spoti Leo Radio One

Kazi ipo......!!
 
Mwana Yanga SC Gerson Msigwa ( Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.

Chanzo: Spoti Leo Radio One

Kazi ipo......!!
Simba mlinunua lifriji
 
Hili Ndo jambo la msingi nimeona amelifanya Tangu ameanza kuwa Kiongozi wa Nchi hii..

Kudos Kudos kudos kudos
Lazma gongo wazi walipe
 
Mwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.

Chanzo: Spoti Leo Radio One

Kazi ipo......!!
Ukute ni mpango wa mashabiki wa Simba kuiharibia Yanga
 
Hata Serikali Yenyewe Ipo Namna Hiyo
Serikali ni Watanzania ndio maana nimeweka kwa ujumla wetu wao si wanaiba hela za kodi kwa ununuzi wa vitu vya kijinga visivyofanana na thamani wanaweka bei za ajabu ajabu tu..hao Toyota wanatushangaa tunaipiga Nchi kwa kujipa bei ambayo haipo kwenye viete..
 
Wakati nasoma udom vyoo vilikuwa vinaziba unakuta mtu kumbe alitupa tshirt. Yani watanzania ni waharibifu. Mtu anaiba chuma cha reli akauze kwenye vyuma chakavu hajali kitakachotokea
Wanawaiga wanaoiba hela za miradi hawajatofautiana kabisa hata ukiwaangalia kwenye vikao unaona wengi wanaangalia mazingira ya kuiba fedha za Umma na si kutaka fedha ya umma ifanye kazi inayotakiwa ndio maana miaka nenda rudi tupo na mambo ya matundu ya vyoo mara madarasa pana shule ukipata picha utadhani zipo Msumbiji kumbe zipo hapa hapa penye kiongozi wao mwenye Viete watoto wanakaa chini...
 
Watanganyika mali ya kwao wenyewe ila wanavyo ziharibu utadhani hazina umuhimu kwao. Watanganyika badilikeni, huu upumbavu wa usimba na uyanga utawapeleka kubaya.
 
Back
Top Bottom