Toa sababu zako za msingi?Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni bhn, Kwa upande wangu GENTAMYCINE katisha sana.
Huyu jamaa wampe tu tuzo yake.
Kwa kipi?Huyu jamaa wampe tu tuzo yake.
Chuki ni mbaya Sana obviously Kura yangu n Kwa king GENTAMYCINEWafuatao wamelitendea haki jukwaa la michezo
Joseverest
Frank Wanjiru
Labani og
Shadeeya
LIKUD
Medecin
Nifah
Na wengine wengi kasoro genta.