Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo Julai 27, 2026, itashuka dimbani kuivaa Afrika Kusini katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Women's AFCON...
Kiukwel naona kabisa mabos pale viunga vya Chamaz wamechafukwa sana sio kwa sajili hizi tunazoziona
Wana kocha MZURI mwenye uzoefu wa kutosha na soka la vilabu AFRIKA hii amefundisha timu kubwa...
Klabu ya Jamus baada ya kuwaduwaza Singida BS mechi iliyopita, leo anakutana na Mnyama Simba SC aliyetoka sare mechi iliyopita dhidi ya Mogadishu.
Je, nani kuondoka na alama tatu?...
Niliwah kuleta Uzi humu na nikasema mwamnyeto, Edmund john , n.k hawafai kubaki Yanga sc, nikaishia kutukanwa na kuitwa mjinga.
Leo nitawasanua Tena , max nzengeli,anacheza nafasi isiyokua yake...
Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji...
Miongoni mwa maamuzi ya hovyo zaidi kuwahi kuyaona basi hili la Assemahle Wellem kutoka South Africa kutoka huko kwao kuja Tanzania kupigana kwa bendera ya Tanzania chini ya Mafia boxing...
Hawa ndio makocha wote waliofanikiwa kushinda Kombe la Dunia (FIFA World Cup) tangu mwaka 1930 hadi 2026:
1. 1930 – Alberto Suppici (Uruguay)
2. 1934 – Vittorio Pozzo (Italia)
3. 1938 –...
Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya.
Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe...
Huyu ni mtangazaji wa mpira wa miguu kutoka Azam TV.Ana staili yake tofauti anapotangaza mpira wa miguu kwa wanawake.Hakika huwa anaburudisha sana maana humtaka kila mchezaji kwa majina yake...
Hakika hawa ni 𝐖𝐀𝐓𝐀 𝐏𝐋𝐄𝐘𝐀𝐀𝐀
Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya kwa kuwasajili wachezaji wa kigeni, huku ikieleza matarajio makubwa kutoka...
Lamine Yamal ameshinda Kombe la Dunia – lakini je, nyota huyo chipukizi wa Hispania amefanya vya kutosha kumpiku Harry Kane, Kylian Mbappé, Ousmane Dembélé katika mbio za Ballon d'Or?, Baada ya...
Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema ana mpango wa kuifuta Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kutokana na changamoto ya udanganyifu wa umri wa wachezaji.
Akizungumza katika kipindi...
Leo Jumamosi Julai 25 ni zamu ya Tanzania ambapo vigogo wawili, Simba SC na Singida BS kutoka Kundi B watakuwa dimbani kwa nyakati tofauti.
Anaanza Singida BS dhidi ya Jamusi FC kutoka Sudan...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kikosi bora cha Kombe la Dunia 2026 (FIFA Dream XI), ambacho kimepatikana kupitia kura za mashabiki kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kikosi hicho...
Wakuu nimekuta na hizi allegations huko X na instagram.. n baadhi ya watu wakiweka na ushahidi naiomba mamlaka ichunguze...
Waweza pitia uzi huu
Kuna madai ya Kijana kacheza U17 na U20 vizuri...
LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga.
Shughuli hii itakuwa mubashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 5:00 usiku.
Mnataka tuzo za ligi waambieni bodi ya ligi waanzishe zao”~> Rais wa TFF, Wallace Karia.
Karia alitoa kauli hiyo akieleza kuwa utoaji wa tuzo za ligi ni jukumu linaloweza kusimamiwa na Bodi ya...
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema haogopi Simba wala Yanga, bali anaziheshimu kutokana na mchango na hadhi yake katika soka la Tanzania.
Mimi siogopi Simba wala Yanga. Nawaheshimu... Nje huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.